Games

LATEST UPDATES
Showing posts with label udaku. Show all posts
Showing posts with label udaku. Show all posts

Saturday, July 18, 2015

AJULIKANA SASA ALIYEMSHAURI WEMA AGOMBEE UBUNGE huyu hapa............

Wema Sepetu na Mama yake.

 Wema Sepetu ameweka bayana kuwa mtu aliyemsukuma kujiingiza kwenye siasa ni marehemu baba yake, Abraham Sepetu.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Wema ambaye juzi alitarajiwa kuchukua fomu ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, alisema marehemu baba yake alimpa wazo hilo miaka mitano iliyopita.
 
“Marehemu baba aliniambia kwa nini usifanye siasa? Kwa nini usiwe kiongozi ambaye utawasaidia watu? Mwanzoni niliona ni vigumu lakini mwaka huu wa uchaguzi nimeona ni muafaka kwangu kuingia kwenye siasa,” alisema Wema.
Kwenye ubunge huo wa Viti Maalum mkoani Singida, Wema anatarajia kuwania nafasi hiyo kwa tiketi ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) akiwania nafasi mbili ambazo kwa sasa zinatetewa na Martha Mlata na Diana Chilolo.
Wema ambaye amefanya mambo mengi ya kijamii mkoani humo kabla ya kupata wazo la kuwania kiti hicho, ametajwa kuwa miongoni mwa wagombea watarajiwa waliopania kutatua matatizo mbalimbali yanayowakabili wanawake wa Singida.

NDUGU YAKE DIAMOND AZUIWA KUINGIA NYUMBANI KWA ZARI

Rose na rafiki yake wakigonga getini kwa Diamond.
Mrembo aliyedai ni dada wa hiyari wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ aliyejitambulisha kwa jina moja la Rose akijiita wifi wa mwandani wa jamaa huyo, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, hivi karibuni ameumia kupita maelezo baada ya kuzuiwa kuingia nyumbani kwa mastaa hao, Ijumaa lina mkanda mzima.
Rose ambaye ni ‘msichana wa mujini’ alijikuta akitiliwa ngumu na mlinzi nyumbani kwa Diamond maeneo ya Tegeta-Madale, Dar ambapo alikwenda kumuona Zari baada ya kusikia yupo Bongo.
IMG_0020Mlinzi akiwakatalia kuingia ndani.
Kwa mujibu wa Rose, kabla ya Diamond kuwa na uhusiano na Zari walikuwa wapo vizuri lakini baada ya kuwa na mama kijacho huyo, hajawahi kumuona na amekuwa akitamani waonane laivu bila mafanikio.
“Zari ni wifi yangu kwa Diamond (bila kufafanua uwifi kivipi). Pia napenda sana kazi za Diamond lakini tangu waanzishe uhusiano kila ninavyojitahidi niwaone inakuwa ngumu. Ningepata msaada wa kuwaona ningefurahi.
“Nilijaribu kuomba msaada kwa kaka mmoja ambaye ni rafiki wa Diamond lakini akaniambia Zari akiwepo pale nyumbani kwa Diamond hasa kipindi hiki ambacho ni mjamzito, ni ngumu mtu yeyote kuingia,” alisema mrembo huyo.
Ijumaa laamua kumpeleka

IMG_0028Baada ya kushindikana kumuona wifi yake amabaye ni ‘Zari’, Rose aliamua kurudi nyumbani.
Katika kuhakikisha kama alichokuwa akikisema kina ukweli, mmoja wa waandishi wa gazeti hili juzi Jumatano aliamua kumsindikiza Rose hadi nyumbani kwa staa huyo lakini katika hali ya kushangaza, mlinzi binafsi aliyekutwa aliweka ngumu kumfungulia mlango mdada huyo.
“Wewe kama unasema Diamond ni kaka yako na Zari ni wifi yako, ungewapigia simu kabla ya kuja, siwezi kuwafungulia geti,” alisema mlinzi huyo.
Rose: Lakini kaka ungenisaidia tu nikaingia ndani, Diamond akiniona hawezi kunizuia.
Mlinzi: Haiwezekani, tena naomba muondoke.
Kufuatia kuwekewa ngumu huko, mdada huyo aliondoka eneo hilo huku akiwa amenyong’onyea ambapo wakati hayo yote yakiendelea, mmoja wa mapaparazi wetu alikuwa akipiga picha kwa simu ya mkononi.
Diamond-Platnumz-na-ZariDiamond na Zari.
Kumbe ulinzi mkali
Baada ya dada huyo kutokubaliwa kuingia ndani ya nyumba ya Diamond licha ya kudai ni wifi wa Zari, Ijumaa lilizungumza na baadhi ya watu wanaoishi eneo hilo ambapo walisema ni ngumu sana kupenya kuingia ndani ya mjengo huo.
“Pale bwana wapo wengi wanakuja na kudai ni ndugu wa Diamond lakini wanaishia nje na kuondoka, bila taarifa mlinzi hawezi kukufungulia geti, kwa hiyo kuzuiwa kwa huyo anayedai ni wifi wa Zari siyo ishu,” alisema kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Shebe.
DIAMOND ANAMJUA?
Kama kawaida yake ya kutoa ujumbe upande mmoja na kupeleka upande wa pili ili kupata mzani, ‘kijumbe’ wa gazeti hili alimtafuta Diamond kwa mahewa akiwa kwenye ‘pipa’ kuelekea nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’ ambapo alijibu kwa kifupi: “Nimekwambia simjui huyo dada.”
SIYO ROSE PEKEE
Mbali na Queen Darleen na Esma ambao ni dada zake wa ukweli wanaofahamika, wapo wasichana wengine kibao mjini ambao nao hudai ni dada zake wa hiari ambapo ukimwacha Rose pia yumo Halima Haroun ‘Kimwana’ ambaye hata Zari anamuita wifi licha ya kwamba hana undugu na Diamond.
DIAMOND KULAMBA TUZO
Wakati hayo yakiendelea, wikiendi hii Diamond anatarajiwa kulamba tuzo zinazofanyika Sauzi za MTV Music (Mama) baada ya kuteuliwa kuwania Vipengele vya Msanii Bora wa Kiume Afrika, Mtumbuizaji Bora wa Kiume Afrika na Wimbo Bora wa Kushirikiana Afrika.
KILA LA HERI DIAMOND
Dawati la Ijumaa linamtakia Diamond kila la heri ili ailetee heshima Tanzania katika anga la muziki wa Bongo Fleva. -Mhariri.globalpublishers

MAIMARTHA KUWASHTAKI TIMU WEMA


Mtangazaji maarufu nchini, Maimartha Jesse.
Gladness Mallya
MTANGAZAJI maarufu ambaye siku chache zilizopita amejiunga na Azam Tv, Maimartha Jesse amewafikisha wafuasi wa Wema Sepetu wanaojulikana kwa jina la ‘Team (Timu) Wema’  kwa mwanasheria wake kutokana na kuendelea na tabia yao ya kumtukana kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.
wema (8)Wema Sepetu.
Baada ya hivi karibuni gazeti ndugu na hili kuripoti habari juu ya mwanadada huyo kumshtaki Wema na wafuasi wake kwa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar, Suleiman Kova bado wameendelea kumshushia matusi ya nguoni hivyo kulazimika kwenda kwa mwanasheria wake anayejulikana kwa jina la Mrema ambapo analifanyia kazi suala hilo.
“Nimechoka na ninaapa kwamba nitakula nao sahani moja kwani mpaka sasa nimeshagundua kuwa kuna mmoja yupo Malaysia na mwingine India huku waliobaki wako hapahapa Dar hivyo mwanasheria wangu anaendelea kulifanyia kazi hilo kwani wanaendelea kunitukana kila kukicha,” alisema Maimartha.


source: globalPublishers

Wadada wanne wakamatwa na kufungwa UCHI chini ya mti kisa.......

Kumradhi kwa picha hio
Habari kutoka NIGERIA zinasema wadada hao walikamatwa Alfajiri katika shamba la mwanakijiji mmoja jina halikupatikana mapema ambapo imeelezwa wametuhumiwa kwa kosa la wizi wa mazao shambani hapo.
Wamekamatwa na mihogo karibu nusu gunia na mazao mengine ya shamba hilo.

Monday, July 13, 2015

Kuhusu Yule Muhindi aliyekamatwa na pesa Dodoma

There was drama at a hotel in Dodoma after TSh 720 million was found in the room of a middle-aged man.
The mid-morning incident fuelled speculation that CCM nomination candidates were splashing billions of shillings.
The Citizen could not, however, independently verify that the money found at the hotel was in any way related to the ongoing political campaigns, especially the high-stakes process to nominate CCM’s presidential candidate.
The development took place as CCM was holding meetings to pick its flag-bearer.
Rival camps in the party immediately pointed an accusing finger at one another over the huge stash of money found in possession of the Indian national.
Supporters of the various camps used social media to speculate on who may have been behind the matter, with most linking it with an alleged plot to bribe members of the CCM National Congress, which was due to convene last night.
Mr Bernard Membe, who was in the short list of five candidates picked by the Central Committee, later denied knowing the suspect.
“There is information that a suspect linked to me has been arrested with money in Dodoma. This is dirty politics that will not build our nation. Please don’t be misled by people who want to tarnish my image me after failing to find fault with us,” Mr Membe wrote on his Twitter account.
The suspect was confronted at the hotel by supporters of Mr Edward Lowassa, who had put up their operation base there. They forced him to open two bags he was carrying and found millions of shillings in Sh10,000, Sh5,000, and Sh2,000 notes.
He was immediately apprehended and police were called to the scene. His photos went viral on social media.
A team from the Prevention and Combating of Corruption Bureau arrived shortly, and took him to the hotel’s restaurant where he was questioned for about two hours.
Police also inspected his room and found another bag stuffed with money. Police sources said a total of Sh720 million was found on the suspect.

Sunday, August 11, 2013

AY NA MWANA FA YAWATOKEA YAKUWATOKEA HUKO AFRIKA KUSINI.........MADAWA YA KULEVYA NOMA


Msanii Madee alivyokuwa airport huko South Africa alipekuliwa sana kutokana na historia ya kukamatwa kwa watanzania na madawa ya kulevya kwenye viwanja vya ndege vya huko South Africa. 


Tukio hilo limewatokea Mwana F.A akiwa na swahiba wake A.Y baada ya kufika bondeni kwa ajili ya show ambapo  wamepekuliwa  kupita  kiasi


Mwana F.A hali ilimshinda ikabidi aanze ku-share na marafiki zake kwenye twitter kuhusu mambo yaliyowakuta huko bondeni.
  
Hizi ni baadhi ya caption za Mwana F.A na watu wengine baada ya tukio hili kutoke.

 

AFIA GESTI AKIFANYA MAPENZI

MFANYABIASHARA wa sokoni Kariakoo jijini Dar ambaye pia ni mkazi wa Kigogo Flesh, Hamad Kiponda (46), amefia nyumba ya kulala wageni akiwa na mpenzi wake Latifa Saidi (25).


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi alisema tukio hilo lilitokea juzi saa saba mchana katika nyumba hiyo iitwayo Sansiro iliyoko Kiwalani kwa Gude.

  
Alisema kuwa kutokana na tukio hilo, Latifa alitoa taarifa polisi kwamba mpenzi wake aliishiwa na nguvu ghafla na kuanza kutokwa povu mdomoni wakati wakifanya mapenzi.
  
Minangi alieleza kuwa mtoa taarifa huyo aliomba msaada kwa wahudumu wa gesti hiyo, lakini Kiponda alifariki papo hapo kabla ya kupelekwa hospitali.


Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika, wakati mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi huku Latifa akishikiliwa kwa kuhojiwa.
  
Wakati huo huo, moto umezuka ghafla katika nyumba ya Matiku Nestori (43) mkazi wa Tuamoyo Kigamboni, yenye vyumba sita na kuteketeza vyumba vinne pamoja na mali zote zilizokuwemo ndani ambazo bado thamani yake haijajulikana.


Kwa mujibu wa Kamanda Minangi tukio hilo lilitokea juzi saa nane mchana na chanzo cha moto huo inasadikiwa ni hitilafu ya umeme iliyosababisha moto kuanzia kwenye nguzo

Friday, August 9, 2013

VIDEO:MTOTO WA MIAKA MITATU ALAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA BABA YAKE.... :

 
Video ya mtoto mchanga akifundishwa mapenzi na baba yake yanaswa. Katika video hiyo, mtoto huyo anaonekana akiingiliwa kimwili na baba yake, huku akilizimishwa kumnyonya "mambo" yake, hali iliyomfanya mtoto huyo amwage machozi ya uchungu.....

DUDU BAYA MBARONI KWA KUCHOMA MOTO NYUMBA YA GEEZ MABOV

MSANII wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudu Baya’ ameswekwa rumande kwa kudaiwa kuchoma nyumba ya baba wa msanii mwenzake ‘Geez Mabovu’, Mashaka Mrisho.

Tukio hilo lilitokea Agosti 1, mwaka huu ambapo mwenye nyumba sambamba na polisi walimkamata Dudu Baya na mkewe Mariam kwa madai ya kuchoma moto nyumba kwa makusudi na kuwapeleka katika Kituo cha Polisi Oysterbay.
 

“Mkewe alitupia mkaa wa moto katika sofa, likashika moto kabla majirani hawajanisaidia kuuzima. Baada ya kuwauliza kulikoni wakanitishia maisha ndipo nikawapeleka polisi na kupewa RB namba OB/RB/13485/2013 na kuja kumkamata,” alisema Mashaka.
 

Dudu Baya alipotafutwa na mwandishi wetu, alikiri kukamatwa na kuwekwa sero kwa saa sita kabla ya kuwekewa dhamana na shemeji yake aliyemtaja kwa jina la Vero.


“Vyumba vyake na vyangu haviingiliani kabisa, tumetenganishwa na ukuta hivyo shutuma zake hazina ukweli dhidi yetu ila naamini uchunguzi wa polisi ndiyo utatoa majibu,” alisema Dudu baya

-MPEKUZI

VIGOGO WA MASOGANGE WA MADAWA YA KULEVYA WANASAWA NA HII NDO HATUA WALIYOCHUKULIWA

HABARI zilizochimbuliwa kwa undani zinadai kuwa tayari vigogo wawili waishio nchini wamebanwa na Jeshi la Polisi Tanzania wakituhumiwa kumtuma Masogange kupeleka madawa ya kulevya nchini Afrika Kusini.

Kwa mujibu wa habari hizo, vigogo hao (majina tunayo) walidakwa wiki iliyopita kila mmoja kwa wakati wake na kuhojiwa katika Kituo Kikuu cha Polisi (Central), jijini Dar ambako walihojiwa kwa saa sita.


“Hawa vigogo walikamatwa wiki iliyopita na kuhojiwa kwa masaa sita, waliachiwa lakini waliambiwa wakihitajika tena wataitwa,” kilisema chanzo hicho.



Chanzo kikaongeza kuwa, licha ya kuhojiwa na kuruhusiwa kuondoka, vigogo hao, mmoja alinyang’anywa ‘paspoti’ yake huku mwingine akaunti zake za benki zikifungwa kwa muda usiojulikana.



Habari zinasema kuwa, kigogo ambaye akaunti zake zimefungwa amekuwa akihaha kila kukicha kuhakikisha zinafunguliwa kwa sababu hana njia nyingine ya kuingiza kipato.



Juzi, Ijumaa liliwasiliana na Kamanda wa Kikosi Maalum cha Kupambana na Madawa ya Kulevya, Godfrey Nzowa ili kujua uhakika wa madai hayo ambapo alisema:


“Sisi (polisi) tumekuwa tukifanya mambo yetu kwa siri kubwa, si rahisi kusema. Tukisema kunakuwa na ugumu kwa sababu mnaandika kwenye magazeti, matokeo yake uchunguzi unavurugika.


“Mfano wale wasichana (akina Masogange) waliokamatwa Afrika Kusini wamekuwa wagumu kuwataja waliowatuma kwa sababu hao waliowatuma ndiyo wanaowategemea kuwawekea dhamana.”


Agnes Gerald na mwenzake, Melisa Edward walikamatwa Julai 5, mwaka huu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo uliopo Kempton Park nchini humo wakiwa na madawa ya kulevya aina ya Crystal Methamphetamine yenye thamani ya shilingi bilioni 6.8.


-GPL

Wednesday, August 7, 2013

PICHA ZA UTUPU ZA SHOGA AKIJIUZA MTANDAONI



















Friday, March 8, 2013

AIBU: PICHA ZA UCHI ZA MISS KINONDONI NAMBA2 ZANASWA

AIBU: PICHA ZA UCHI ZA MISS KINONDONI NAMBA2 ZANASWA


Miss Dar Indian Ocean ambaye ni Miss Kinondoni namba 2 mwaka jana, Diana Hussein  hivi karibuni amejikuta akipata aibu baada ya picha yake ya utupu kuvuja...

 
Picha hiyo inayomuonesha Diana akiwa matiti nje, imesambaa kwenye mtandao wa simu wa BBM huku baadhi ya watu ‘wakifoadiana’. 

Baadhi ya marafiki wa mrembo huyo walisema kuwa wameshangaa kuiona picha hiyo kwani kwa wanavyomjua hawakutarajia.

Akiizungumzia picha hiyo, Diana alisema aliipiga kwa matumizi yake binafsi ila akashangaa kuona imesambaa mtandaoni.

Wakati Diana akiteswa na skendo hiyo, Miss Rukwa namba 3 mwaka jana, Vency Edward naye amefuata mkumbo baada ya picha zake za utupu kunaswa.

Picha hizo kama ilivyo kwa Diana, zimezagaa kwenye mtandao wa BBM na zinamuonesha ameshusha gauni lake hadi kiunoni na kuliacha eneo la juu wazi.

Haikuweza kufahamika mara moja za sababu za yeye kupiga picha hizo na jitihada za kumtafuta zinaendelea ili aweze kuzifungukia.


Credit: GPL

Monday, February 25, 2013

WEMA SEPETU APATA VITISHO VYA KUTEKWA NA WATU WASIOJULIKANA


 
 siku chache baada ya kufungua kampuni yake WEMA SEPETU amepokea simu kutoka kwa mtu ambaye ni msamaria mwema akamuibia siri ya njama aliyopangiwa.
Baadaya kupata habari hizi ilibidi kumtafuta Wema mwenyewe ili kujiridhisha kama ni kweli,Hiv ndivyo alivyotiririka 
"ni jana tu around jioni jioni hivi, nilipokea sim kutoka kwa msamaria mwema, akiniambia wema jihadhari, yaani baada tu ya kupokea hiyo sim, kwanza i was shoked halafu mwisho wa siku nikiona kama ma haters wanataka kunijaribisha, halafu mwisho wa siku kama vile hawawezi, maana hawajui how well am prepared......."
wherever they are trying to do, they should just understand that, wasije wakajikuta wao ndio wako in trouble, in deep shit, because naskia kuna jopo la watu wanataka kunivamia and its not right, kama mwenzako anafanikiwa muombee mema sio kumdidimiza...."alisema Wema

TIMBULO AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA BURUNDI CHEKI PICHA ZA TUKIO HAPA


WEMA VS DIAMOND WAONESHANA UBABE WA PESA


WAKATI Wema Isaac Sepetu akionesha jeuri ya fedha kwa kufungua bonge la ofisi ya kuzalisha filamu, zilipendwa wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amemjibu kwa kukamilisha mjengo wa maana uliogharimu Sh. milioni 260 hivyo kwa pamoja kuthibisha msemo kuwa fedha inaongea, Ijumaa Wikienda lina data kamili.
Katika uzinduzi huo ambao Ijumaa Wikienda lilialikwa, Wema ndiye alikuwa wa kwanza kumshtua mama yake mzazi, Mariam Sepetu na mastaa mbalimbali (akiwamo Diamond), Jumatano iliyopita na kuzindua ofisi yake inayojulikana kwa jina la Endless Fame Films iliyopo Mwananyamala- Komakoma, jijini Dar.

Pamoja na mkali huyo ambaye ni sura ya mauzo kwenye gemu la filamu za Kibongo kumualika mama yake, ilibainika kuwa hakuwa amemtaarifu kabla kuhusu umiliki wa ofisi hiyo hivyo ilikuwa ‘sapraizi’ kwa mzazi huyo.
“Mama hii ndiyo ofisi yangu ambayo maandalizi yake yalianza tangu Juni, mwaka jana na sikutaka kukwambia hadi ilipokamilika ili iwe sapraizi,”  Wema alimwambia mama yake mbele ya wageni waalikwa na kuongeza:
“Nia na madhumuni ya ofisi hii ni kukuza vipaji vya wasanii wachanga hivyo nakaribisha chipukizi wa filamu waje kujiunga kwenye kampuni yangu.”
Bila kutaja gharama za ofisi hiyo, Wema alisema kwa kifupi kuwa imemgharimu mamilioni ya shilingi huku akiainisha vitu vilivyosheheni ndani kama jiko, ofisi yake, sehemu ya kunywea kahawa, kupumzikia wageni, vyumba viwili vya wahariri wa video pamoja na choo cha ndani.

Siku hiyo ilipambwa na mastaa mbalimbali wa filamu kwa ajili ya kumpa sapoti mwenzao (Wema) ambaye ameonesha kupiga hatua kubwa kwenye sanaa wakiongozwa na Vincent Kigosi ‘Ray’, Jacob Steven ‘JB’, Single Mtambalike ’Richie’, Issa Mussa ‘Cloud’, Hartman Mbilinyi na Husna Posh ‘Dotnata’.

Wakati mastaa waliofika kwenye sherehe hiyo ya Wema wakijiuliza juu ya kutohudhuria kwa Diamond,
taarifa zilizonaswa na gazeti hili zilidai kuwa alikuwa katika mishemishe za kumjibu Wema kwa kuzindua mjengo wake wa kisasa uliopo Tegeta, jijini Dar.

Akizungumza na paparazi wetu akiwa kwenye eneo ilipo nyumba hiyo ambayo ilikuwa ikifanyiwa ‘finishing’, Diamond alisema kuwa nyumba hiyo yenye thamani ya Sh. milioni 260 ni zawadi kwa mama yake Sanura Kassim ‘Sandra’.
“Mama yangu ndiyo kila kitu kwangu, mara ya kwanza nilimnunulia gari aina ya Toyota Alteeza nikaona haitoshi, nikaamua kumjengea hii nyumba ambayo itakuwa kama urithi wake hata nikifa leo,” alisema Diamond.

Diamond alimzungusha paparazi wetu na kujionea mjengo huo wenye vyumba vinne vya kulala ambavyo vyote ni ‘self contained’ (chumba chenye choo na bafu), studio kubwa ya kurekodi muziki, eneo ambalo limetengwa kwa ajili ya kujenga bwawa la kuogelea ‘swimming pool’, uwanja wa basketball na sehemu maalum ya kufanyia mazoezi (gym) ambapo alisema hadi ifikapo Septemba, mwaka huu kila kitu kitakuwa kimekamilika.

Ukiachana na ukubwa wa nyumba hiyo, uwanja ambao ameuzungushia uzio wa ukuta kuna nyumba nyingine ndogondogo tatu ambazo kwa mujibu wa staa huyo wa Songi la Kesho, zitakuwa zikipangishwa.


sor:GPL

RAY ADHOHOFIKA ATIA HOFU NDUGU NA JAMAA

MWIGIZAJI Vincent Kigosi ‘Ray’ amezua hofu kwa ndugu, jamaa, marafiki na mashabiki wake baada ya kukongoroka ghafla akihisiwa anaumwa,
Vincent Kigosi ‘Ray’ alivyo kwa sasa.

Wiki kadhaa zilizopita paparazi wetu alishtuka alipomuona Ray kwenye ‘bethidei’ ya mwigizaji sistaduu Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ndani ya Hoteli ya Shamoll iliyopo Sinza ya Lion, Dar akiwa amekongoroka na kuibua maswali kwa wahudhuriaji.
Akiwa ukumbini hapo, minong’ono ilienea kuwa Ray alionekana kukondeana katika kipindi kifupi huku baadhi ya watu wakisikika wakiulizana kulikoni kwani alikuwa meza moja na bonge la mtu, Jacob Steven ‘JB’ hivyo kumfanya kuonekana mdogo mno.

Akiwa kwenye Viwanja vya Leaders, Kinondoni, Dar wiki iliyopita, Ray aliibua mshtuko kwa mara nyingine hadi jamaa mmoja anayedhaniwa kutokuwa vizuri kichwani kumfuata na kumuwakia akimuuliza kwa hasira kuwa kulikoni akondeana kiasi hicho.

Kwa mara nyingine, Ray alizua hofu alipohudhuria kwenye uzinduzi wa ofisi ya Wema Sepetu uliofanyika maeneo ya Kinondoni, Dar ambapo alipoingia watu walipigwa butwaa wakimtazama na wengine kumuonea huruma wakidhani anaumwa.

Kwa nyakati tofauti, wanahabari wetu walizungumza na Ray ambaye alitoa majibu ya kukinzana na kuzidi kutia shaka.
Ray alimwambia mmoja wa waandishi wetu kuwa kilichosababisha akongoroke kiasi hicho ni mazoezi makali anayofanya ili kupunguza unene.
Katika majibu mengine kwa mwandishi wetu mwingine, Ray alidai kuwa anafanya ‘dayati’ ikielezwa kuwa ikishafika saa 11:00 jioni ndiyo mwisho wake wa kula msosi lengo likiwa ni kupunguza mwili uliokuwa umefumuka.
Kama mtu alimuona Ray kwenye Matamasha ya Serengeti Fiesta mwishoni mwa mwaka jana, akikutana naye lazima amtazame mara mbilimbili hivyo Ijumaa Wikienda lipo mzigoni kutafuta undani wa madai kuwa huenda staa huyo mkubwa anaumwa kufuatia majibu
tofauti aliyoyatoa.

CHANZO:Ijumaa Wikienda

JACK PATRICK MAHAKAMANI KWA KOSA LA KUMJERUHI MREMBO KWA CHUPA



Jackline Patrick juzi Jumatano alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na kusomewa shitaka la kumjeruhi kwa chupa kichwani msichana aliyetajwa kwa jina la Hafsa Sasya.

 
Akisoma shitaka hilo, mbele ya mahakama, Mwendesha Mashitaka mahakamani hapo Silvester Shirikale alisema mshitakiwa anashtakiwa kwa kosa la kumjeruhi vibaya mlalamikaji huyo.


Alisema: “Mnamo Januari 26, mwaka huu maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam ndani Hoteli ya Element Lounge mshitakiwa alimpiga kwa chupa kichwani mwanamke mmoja aitwaye Hafsa Sasya na kumjeruhi vibaya.”


Baada ya kusomwa shitaka hilo mbele ya hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo Edna Makabwa, mrembo huyo aliulizwa kama ni kweli au si kweli alitenda kosa hilo ambapo alikana shitaka.


Hakimu aliiahirisha kesi hiyo hadi Machi 13, mwaka huu itakapotajwa tena ambapo alimwambia mshitakiwa kuwa dhamana iko wazi kwa masharti ya kuwa na wadhamini wawili wenye bondi za shilingi 800,000 kila mmoja.

Friday, February 22, 2013

DK. CHENI ARUDISHA GARI LA KANUMBA

GARI la aliyekuwa staa wa filamu Bongo Steven Kanumba aina ya Toyota Land Cruiser V 8, imeelezwa linapigwa bei na limeshindikana kuuzika kwa sababu ya bei kuwa kubwa ukilinganisha na hali ya mkoko wenyewe ilivyo kwa sasa.
  
Marehemu Steven Kanumba akiwa jirani na gari lake aina ya Toyota Land Cruiser V 8 enzi za uhai wake.
Habari za ndani kutoka kwa chanzo chetu zinasema kwamba, mteja aliyekuwa akitegemewa zaidi ni msanii maarufu nchini, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ ambaye baada ya kutajiwa bei alipewa kwa ajili ya kulifanyia majaribio.

CHANZO KINATIRIRIKA

Kwa sharti la kutochorwa jina lake gazetini chanzo hicho kilitiririka kuwa, si kweli kuwa Dk. Cheni alipewa lile gari ili alitumie kwa muda kufanya vifaa visiharibike bali alikuwa akilijaribu.
“Unajua ndugu yangu lile gari wenyewe (familia ya Kanumba) wanaliuza milioni 40, Cheni amelikagua sana akagundua lina matatizo mengi ndiyo maana akawaambia atoe milioni 25 wamekataa na sasa limemshinda na ameshalirudisha,” kilipasha chanzo.

 
Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’.
MATATIZO YENYEWE
Kikiendelea kutambaa na mistari, chanzo hicho kilitaja baadhi ya matatizo ya gari hilo, kikasema: “Kwanza namba zake za usajili ni za zamani ni T 750 AER, gia boksi ina matatizo ambayo yamesababishwa na gari hilo kutumika likiwa kwenye four wheel ndiyo maana gia boksi imepata matatizo.
“Halina motor vehicle,  steeling power mbovu, halina road licence na mbaya zaidi kwa namna lilivyo kwa mizunguko ya kawaida mjini, kwa siku linatumia mafuta ya laki moja.
Vyote hivi Dk. Cheni aliviorodhesha na kwenda kuwaeleza ili wapunguze bei lakini wamegoma, wanataka milioni 40 wakati Cheni ameng’ang’ania kuwa anataka kutoa 25 (milioni).”

DK. CHENI KIZIMBANI

Baada ya kupata maelezo haya kutoka kwa chanzo, Ijumaa lilimvutia waya Dk. Cheni na kumuuliza juu ya madai hayo, alisikiliza kwa makini sana maelezo yote hadi mwisho, alipotakiwa kujibu, akakata simu kisha akazima kabisa.

SOURCE: GPL

Thursday, February 21, 2013

BAADA YA DIAMOND KULALAMIKIA KAULI INAYOSEMA ANATEMBELEA NYOTA YA Q CHILLAH, Q CHILLA NAE AFUNGUKA



Baada ya jana Diamond Platnumz kufunguka kwa undani jinsi anavyochukizwa na kitendo cha mwanamuziki mwenzie Abubakar Katwila aka Q-Chief kumsema anatembelea nyota yake, Q-Chief ameamua kumjibu Diamond

Katika kipindi cha XXL cha Clouds FM jana, Diamond alisema,

“mimi sipendezewi na anvyowaambia watu kuwa mimi namloga, kwa nini nisitembelee nyota ya watu kama akina Omary, akina Ben Pol. Alumbane na wakubwa wenzie akina Dully Sykes, mimi sitaki, namheshimu abishane na wakubwa wenzie, mimi mdogo aniache na wadogo wenzangu.
Naye Q_chief alijimjibu kwa kusema hivi

“Sijui wakati anajibu hayo maswali alikuwa kwenye hali gani, sijui alikuwa amekasirika, sijui alikuwa 'out of mood' sijui alikuwa okay, lakini 'all in all' najua kila mtu ana uhuru wa kuongea kile anachojisikia na hajawekea mipaka, as long as kina-msatisfy yeye na kinawafurahisha wengine kwenye umma.

Mimi watu wangu wamenichukulia positive hili jambo baada ya kusikikiliza walinirekodia nikasikiliza lakini 'am not a big fan of superstition so' siamini hivyo vitu lakini kitu ambacho naweza kusema huu najua ni mchezo mchafu na acha niucheze kwa hisia kwa sababu sijui huko mbele ni kitu gani kitakuja kunisaidia katika maisha na kunyamaza pia wakubwa wanasema ni ustaarabu. He is a good kid, I love his music, he is doing good.”

Pia aliongeza kwa kusema hivi
“Ningependa awepo kwenye hii show aangalie kwa sababu mimi pia nimekuwa nikihudhuria na nimeshawahi kufanya show ya Diamonds are Forever naye aliniita kwa mapenzi yake and with open-hearted I did a good show,”

Show hiyo itafanyika February 24 ndani ya New Maisha Club

WEMA AKANUSHA KUOLEWA

Na Mwandishi Wetu
MNYANGE wa Tanzania mwaka 2006 ambaye pia ni staa wa sinema za Bongo, Wema Sepetu ameibuka na kusema kuwa, hajaolewa hivyo anayetaka kumuoa ruksa kujitokeza, Amani limemnasa sauti.
Wema aliyasema hayo kwa paparazi wetu juzi baada ya kubanwa kuhusu madai kuwa ameolewa ambapo alisema hayupo katika ndoa na mwanaume yeyote yule kama watu wengine wanavyoamini.


Wema Sepetu.
Mahojiano kati ya Wema na paparazi wetu kwa njia ya simu yalikuwa kama ifuatavyo:
Paparazi: Mambo vipi Wema?
Wema: (Kwa sauti ya ukali kidogo) Poa, nani wewe mwenzangu?
Paparazi: Mimi ni mwandishi wa Global Publishers hapa…
Wema: (Anashusha sauti) Ooo, unasemaje?
Paparazi: Nataka kujua kuhusu ndoa, maana nimesikia umeolewa, ni kweli?
Wema: (Kicheko) Jamani, watu wengine bwana. Mimi sijaolewa jamani, hayo maneno nimeyapuuza lakini ukweli sijaolewa, nipo singo.
Paparazi: Sasa unaposema hivyo kama mtu akijitokeza sasa hivi na kutaka kukuoa je?
Wema: (Anaacha kucheka) Sasa mimi si mwanamke jamani, lazima nitaolewa tu lakini kwa sasa sijaolewa na nataka watu wajue hivyo.
Hata hivyo, mlimbwende huyo hakuweza kusema ni kwa nini kumekuwepo na madai ya yeye kuolewa bali aliendelea kusisitiza kuwa amepuuza habari kwamba ameolewa na anaendelea kudunda ‘kitaani’ kama zamani.
Mbali na kuwepo kwa madai hayo, Wema amekuwa akidaiwa kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mmoja ambaye mpaka sasa hajawahi kuthubutu kufungua kinywa kumtaja kwa jina hata moja, achilia mbali kuelekeza mahali anakopatikana.
 

Top