Games

LATEST UPDATES
Showing posts with label mastaa. Show all posts
Showing posts with label mastaa. Show all posts

Saturday, July 18, 2015

AJULIKANA SASA ALIYEMSHAURI WEMA AGOMBEE UBUNGE huyu hapa............

Wema Sepetu na Mama yake.

 Wema Sepetu ameweka bayana kuwa mtu aliyemsukuma kujiingiza kwenye siasa ni marehemu baba yake, Abraham Sepetu.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Wema ambaye juzi alitarajiwa kuchukua fomu ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, alisema marehemu baba yake alimpa wazo hilo miaka mitano iliyopita.
 
“Marehemu baba aliniambia kwa nini usifanye siasa? Kwa nini usiwe kiongozi ambaye utawasaidia watu? Mwanzoni niliona ni vigumu lakini mwaka huu wa uchaguzi nimeona ni muafaka kwangu kuingia kwenye siasa,” alisema Wema.
Kwenye ubunge huo wa Viti Maalum mkoani Singida, Wema anatarajia kuwania nafasi hiyo kwa tiketi ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) akiwania nafasi mbili ambazo kwa sasa zinatetewa na Martha Mlata na Diana Chilolo.
Wema ambaye amefanya mambo mengi ya kijamii mkoani humo kabla ya kupata wazo la kuwania kiti hicho, ametajwa kuwa miongoni mwa wagombea watarajiwa waliopania kutatua matatizo mbalimbali yanayowakabili wanawake wa Singida.

NDUGU YAKE DIAMOND AZUIWA KUINGIA NYUMBANI KWA ZARI

Rose na rafiki yake wakigonga getini kwa Diamond.
Mrembo aliyedai ni dada wa hiyari wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ aliyejitambulisha kwa jina moja la Rose akijiita wifi wa mwandani wa jamaa huyo, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, hivi karibuni ameumia kupita maelezo baada ya kuzuiwa kuingia nyumbani kwa mastaa hao, Ijumaa lina mkanda mzima.
Rose ambaye ni ‘msichana wa mujini’ alijikuta akitiliwa ngumu na mlinzi nyumbani kwa Diamond maeneo ya Tegeta-Madale, Dar ambapo alikwenda kumuona Zari baada ya kusikia yupo Bongo.
IMG_0020Mlinzi akiwakatalia kuingia ndani.
Kwa mujibu wa Rose, kabla ya Diamond kuwa na uhusiano na Zari walikuwa wapo vizuri lakini baada ya kuwa na mama kijacho huyo, hajawahi kumuona na amekuwa akitamani waonane laivu bila mafanikio.
“Zari ni wifi yangu kwa Diamond (bila kufafanua uwifi kivipi). Pia napenda sana kazi za Diamond lakini tangu waanzishe uhusiano kila ninavyojitahidi niwaone inakuwa ngumu. Ningepata msaada wa kuwaona ningefurahi.
“Nilijaribu kuomba msaada kwa kaka mmoja ambaye ni rafiki wa Diamond lakini akaniambia Zari akiwepo pale nyumbani kwa Diamond hasa kipindi hiki ambacho ni mjamzito, ni ngumu mtu yeyote kuingia,” alisema mrembo huyo.
Ijumaa laamua kumpeleka

IMG_0028Baada ya kushindikana kumuona wifi yake amabaye ni ‘Zari’, Rose aliamua kurudi nyumbani.
Katika kuhakikisha kama alichokuwa akikisema kina ukweli, mmoja wa waandishi wa gazeti hili juzi Jumatano aliamua kumsindikiza Rose hadi nyumbani kwa staa huyo lakini katika hali ya kushangaza, mlinzi binafsi aliyekutwa aliweka ngumu kumfungulia mlango mdada huyo.
“Wewe kama unasema Diamond ni kaka yako na Zari ni wifi yako, ungewapigia simu kabla ya kuja, siwezi kuwafungulia geti,” alisema mlinzi huyo.
Rose: Lakini kaka ungenisaidia tu nikaingia ndani, Diamond akiniona hawezi kunizuia.
Mlinzi: Haiwezekani, tena naomba muondoke.
Kufuatia kuwekewa ngumu huko, mdada huyo aliondoka eneo hilo huku akiwa amenyong’onyea ambapo wakati hayo yote yakiendelea, mmoja wa mapaparazi wetu alikuwa akipiga picha kwa simu ya mkononi.
Diamond-Platnumz-na-ZariDiamond na Zari.
Kumbe ulinzi mkali
Baada ya dada huyo kutokubaliwa kuingia ndani ya nyumba ya Diamond licha ya kudai ni wifi wa Zari, Ijumaa lilizungumza na baadhi ya watu wanaoishi eneo hilo ambapo walisema ni ngumu sana kupenya kuingia ndani ya mjengo huo.
“Pale bwana wapo wengi wanakuja na kudai ni ndugu wa Diamond lakini wanaishia nje na kuondoka, bila taarifa mlinzi hawezi kukufungulia geti, kwa hiyo kuzuiwa kwa huyo anayedai ni wifi wa Zari siyo ishu,” alisema kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Shebe.
DIAMOND ANAMJUA?
Kama kawaida yake ya kutoa ujumbe upande mmoja na kupeleka upande wa pili ili kupata mzani, ‘kijumbe’ wa gazeti hili alimtafuta Diamond kwa mahewa akiwa kwenye ‘pipa’ kuelekea nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’ ambapo alijibu kwa kifupi: “Nimekwambia simjui huyo dada.”
SIYO ROSE PEKEE
Mbali na Queen Darleen na Esma ambao ni dada zake wa ukweli wanaofahamika, wapo wasichana wengine kibao mjini ambao nao hudai ni dada zake wa hiari ambapo ukimwacha Rose pia yumo Halima Haroun ‘Kimwana’ ambaye hata Zari anamuita wifi licha ya kwamba hana undugu na Diamond.
DIAMOND KULAMBA TUZO
Wakati hayo yakiendelea, wikiendi hii Diamond anatarajiwa kulamba tuzo zinazofanyika Sauzi za MTV Music (Mama) baada ya kuteuliwa kuwania Vipengele vya Msanii Bora wa Kiume Afrika, Mtumbuizaji Bora wa Kiume Afrika na Wimbo Bora wa Kushirikiana Afrika.
KILA LA HERI DIAMOND
Dawati la Ijumaa linamtakia Diamond kila la heri ili ailetee heshima Tanzania katika anga la muziki wa Bongo Fleva. -Mhariri.globalpublishers

MAIMARTHA KUWASHTAKI TIMU WEMA


Mtangazaji maarufu nchini, Maimartha Jesse.
Gladness Mallya
MTANGAZAJI maarufu ambaye siku chache zilizopita amejiunga na Azam Tv, Maimartha Jesse amewafikisha wafuasi wa Wema Sepetu wanaojulikana kwa jina la ‘Team (Timu) Wema’  kwa mwanasheria wake kutokana na kuendelea na tabia yao ya kumtukana kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.
wema (8)Wema Sepetu.
Baada ya hivi karibuni gazeti ndugu na hili kuripoti habari juu ya mwanadada huyo kumshtaki Wema na wafuasi wake kwa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar, Suleiman Kova bado wameendelea kumshushia matusi ya nguoni hivyo kulazimika kwenda kwa mwanasheria wake anayejulikana kwa jina la Mrema ambapo analifanyia kazi suala hilo.
“Nimechoka na ninaapa kwamba nitakula nao sahani moja kwani mpaka sasa nimeshagundua kuwa kuna mmoja yupo Malaysia na mwingine India huku waliobaki wako hapahapa Dar hivyo mwanasheria wangu anaendelea kulifanyia kazi hilo kwani wanaendelea kunitukana kila kukicha,” alisema Maimartha.


source: globalPublishers

Tuzo za MTV African Music Awards (MAMA) Durban, Afrika Kusini. Diamond Platnumz ni mmoja ya wasanii waliobuka kidedea kwenye Tuzo hizo, Hii ndio Orodha Kamili ya Washindi

JULY 18, 2015

Artiste of the Decade
P-Square (Nigeria) – Winner


Song of the year
Mavins: “Dorobucci” (Nigeria) –
Winner


Best Collabo
AKA, Burna Boy, Da LES & JR: “All
Eyes On Me” (SA/Nigeria) – Winner


Best Male
Davido (Nigeria) – Winner


Video of the year
“Nafukwa” – Riky Rick; Director:
Adriaan Louw


Best Female
Yemi Alade (Nigeria) – Winner


Best Hip Hop
Cassper Nyovest (South Africa) –
Winner


Evolution Award
Dbanj (Nigeria) – Winner


Best New Act
Patoranking (Nigeria) – Winner


Best Live Act
Diamond (Tanzania) – Winner


Best Group
P-Square (Nigeria) – Winner


Best Pop & Alternative
Jimmy Nevis (South Africa) –
Winner


Best Francophone
DJ ARAFAT OFFICIEL (Ivory Coast) -
Winner


Best Lusophone
Ary (Angola) – Winner


Personality Of The Year
Trevor Noah – Winner



kwa habari zaidi za mastaa usisahau kuLIKE page yetu ya Facebook 
bofya hapa uLIKE ili uwe updated kwa yanayojiri https://www.facebook.com/alwayspamoja

Sunday, July 12, 2015

Mzee Ojwang aaga dunia


ROSE MUHANDO AELEZA SABABU ZAKUTAKA KURUDI KWENYE DINI YAKE YA AWALI YA UISLAM

 
NYOTA wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando amesema hakuna jambo jema alilojifunza tangu abadili dini kutoka kwenye Uislamu na kuwa Mkristo zaidi ya ‘ugaidi’ wa kiroho mbaya na sasa anaangalia namna ya kurudi katika imani yake ya kwanza.

Muimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando.

Akizungumza na Amani hivi karibuni, Rose alisema hana furaha katika maisha ya Ukristo tofauti na alivyokuwa akielezwa wakati akihubiriwa kuokoka.

Pia Rose alikwenda mbali zaidi kwa kuwarushia madongo baadhi ya wachungaji kwa kumhukumu kwa maneno ya walimwengu bila kutumia hekima za kidini.

“Wakati nahubiriwa kuokoka, niliambiwa nitakutana na upendo lakini matokeo yake nimekuwa mtu wa ‘kupigwa mashuti’ tu.

“Mfano, mtu anakualika kwenye tamasha, kwa bahati mbaya unashindwa kufika na unampa taarifa lakini kesho yake unasikia umetapeli, wameshindwa kuona hata jema moja kwangu? Nafikiria kurudi kwenye dini yangu, naamini nitapata faraja,” alisema Rose.

Mwimbaji huyo amekuwa akikumbwa na skendo ya utapeli ambapo hudaiwa kupokea fedha kwa ajili ya kutumbuiza kwenye matamasha ya dini halafu kuingia mitini.
credit: ukurasawahabari blog

Thursday, February 26, 2015

ushauri wa 50 CENT kuhusu bifu la wayne na birdman... 50 Cent Warns “Stay out of Lil Wayne & Birdman’s Cash Money Drama”



Lil Wayne and Birdman might not be speaking to each other and act as though the situation is irretrievable but 50 Cent, in an interview with MTV News, said he is sure they will eventually make up and that the situation will “work itself out.” Later in the interview, he also said: I hate when personal things become public, because everyone speculates on things that they don’t really know about. I just know that they had a father and son relationship, and that could easily be something they communicate between the two of them, and resolve instead of having everybody else involved in it.” The much-publicized legal battle between the rapper and the co-founder of Cash Money Records has turned up a notch in recent weeks, but 50 Cent doesn’t think this is reason enough for others to get involved. He believes that those outside of the matter should watch their words, and compared Lil Wayne and Birdman's relationship to a daughter and mother in terms of closeness. When they forgive each other – and 50 Cent is entirely confident they will – they may not forgive the outsiders who offered their unwanted opinions on this delicate moment of their personal and professional lives.

Kendrick Lamar kuachia “The Heart Pt. 4”?


Will you let hip-hop die on October 22nd? This was the question Kendrick Lamar asked his fans back in 2012, a couple of days before his critically acclaimed major label debut album good kid, m.A.A.d city got released. It served as a closing line in his Ab-Soul and Jay Rock-assisted song "The Heart Pt. 3." Could the fourth instalment to the track series be on the way before K. Dot liberates his new LP?
Overnight, co-president of TDE, Terrence “Punch” Henderson, raised the spirits by posting a cryptic message on Instagram. Publishing a black square, he captioned the void snap "Heart.", hinting at a possible addition to the iconic sequence. What is more, yesterday Punch put out a tweet, which reads "The N." Does this stand for "The end."? If so, could this mean Kendrick Lamar's project is now completed and submitted to the label, and with "The Heart Pt. 4" on deck, TDE is ready to execute the exact same plan they did almost 3 years ago? Guess only time will tell. Until then, enjoy all 3 parts of the track series below.

Saturday, September 7, 2013

Kanye West: Nimefanya wimbo huu kwasababu mimi ni mungu


Hivi karibunu Rapper Kanye west ameingia katika vichwa vingi vya habari baada ya kufanya wimbo wake na kuupa jina "I Am A GOD" akimaanisha MIMI NI MUNGU
Alisema wimbo huo ni mmoja wapo katika Alibum yake mpya aliyoipa jina la Yeezus (jesus)
anasema kua ameamua hivo ni baada ya kuzuiliwa kwa show yake aliyopanga kuifanya huko Paris mwaka jana.
:Basi siku iliyofuata ndipo nkaenda studio mimi na   Daft Punk, na nkaandika mashairi ya wimbo huu.I AM a god coz ndo hivo na na hakuna wa kunizuia kwenda popote napotaka" aliliambia gazeti la W Magazine na akaongezea "Man, I'm the number living and breathing rock star. I am Axl Rose; I am Jim Morrison; I am Jimi Hendrix."
"Ni vigumu kusema unapenda muziki kisha ukakataa Kanye kuja kwenye show yako. Nimetengeneza wimbo huo na sidhani kama  inahitajika kuelezea zaidi"
"Naweza nikaelezea kuhusu jina la Album yangu mpya Yeezus..West ni jina langu la Utumwa na Yeezus ni jina langu la Kiumungu" Alisema Kanye.
 In "I Am God" the rapper, whose nickname is Yeezy, seems to expand on the ideology further.
"I am a god / hurry up with my damn massage / hurry up with my damn menage / get the Porsche out the damn garage …. I am a god / even though I'm a man of God / my whole life in the hands of God / see y'all better quit playing with God … I Am God."
download hapa chini wimbo huu
 

Top