Hivi karibunu Rapper Kanye west ameingia katika vichwa vingi vya habari baada ya kufanya wimbo wake na kuupa jina "I Am A GOD" akimaanisha MIMI NI MUNGU
Alisema wimbo huo ni mmoja wapo katika Alibum yake mpya aliyoipa jina la Yeezus (jesus)
anasema kua ameamua hivo ni baada ya kuzuiliwa kwa show yake aliyopanga kuifanya huko Paris mwaka jana.
:Basi siku iliyofuata ndipo nkaenda studio mimi na Daft Punk, na nkaandika mashairi ya wimbo huu.I AM a god coz ndo hivo na na hakuna wa kunizuia kwenda popote napotaka" aliliambia gazeti la W Magazine na akaongezea "Man, I'm the number living and breathing rock star. I am Axl Rose; I am Jim Morrison; I am Jimi Hendrix."
"Ni vigumu kusema unapenda muziki kisha ukakataa Kanye kuja kwenye show yako. Nimetengeneza wimbo huo na sidhani kama inahitajika kuelezea zaidi"
"Naweza nikaelezea kuhusu jina la Album yangu mpya Yeezus..West ni jina langu la Utumwa na Yeezus ni jina langu la Kiumungu" Alisema Kanye.
In "I Am God" the rapper, whose nickname is Yeezy, seems to expand on the ideology further.
"I am a god / hurry up with my damn massage / hurry up with my damn menage / get the Porsche out the damn garage …. I am a god / even though I'm a man of God / my whole life in the hands of God / see y'all better quit playing with God … I Am God."
download hapa chini wimbo huu
Post a Comment