Games

LATEST UPDATES
Showing posts with label vituko. Show all posts
Showing posts with label vituko. Show all posts

Thursday, February 21, 2013

MAMBO YA WANAWAKE.



Kundi la wake za watu walikuwa
kwenye semina kuhusu namna
ya kuishi kwa upendo katika
ndoa. Muwezeshaji akauliza,
wangapi wanawapenda waume
zao? Wote wakanyoosha mikono.
Akauliza tena, ‘Mara ya mwisho
umemwambia mumeo
nakupenda lini?. Majibu
mbalimbali yalitolewa, Wengine
wakisema Leo, wengine Jana,
wengine hawakumbuki. Kisha
akawaambia, kila mtu achukue
simu yake halafu amtumie
mumewe text yenye maneno.
NAKUPENDA MPENZI, kisha
wabadilishane simu.
Wakaambiwa kila moja asome
majibu kwenye simu aliyoshika,
majibu yalikuwa kama ifuatavyo;

Simu 1- Samahani nani
mwenzangu?
Simu 2- He Mama Joji unaumwa?
Simu 3- Nami pia daima
Simu 4- Nini tena umeshagonga
gari?
Simu 5- Sijakuelewa una maana
gani
Simu 7- Umefanya nini tena? Leo
sitakusamehe
Simu 8-Chukua taim yako
Simu 9-?!?
Simu 10- Acha kuzunguka
unataka shilingi ngapi?
Simu 11 – Hivi naota?
Simu 12 – Kwa kweli leo
usiponieleza hii mesej ulikuwa
unampelekea nani atakufa mtu
shenzi mkubwa
Simu 13 – Nilishakwambia
usirudie kunywa pombe au
ntakuacha naona umechoka
kuishi na mimi

Unaweza ku SHARE kwa wenzako kama umeipenda hii..

Chief...

Thursday, January 24, 2013

MAJINA YETU HAYA

chunguza chunguza huko mitaani hebu aaaaf tuone!!!!
maana mi nona kama majina haya yanakuwaga hivi:-

OMARI wengi huwaga mafundi!! fundi simu/ baiskeli/ bomba za maji/radio/saa/nk.

ASHA wengi huwaga hawajatulia kabisa mapepe sana,watundu watundu.

IRENE sijawahi kuona irene mbaya wote wanakuwaga wazuri sana.

PEPETUA wengi huwaga mabeki tatu.

PENDO hawa wengi huwaga sana hawajatulia kabisaa na hufanyaga biashara haramu.

PETER wengi wanakuwaga watu wa watu na hupendwa na watu wengi.

KASIMU wengi wanapenda sana kuzamia kwenye shughuli za watu km harusi.

ADAM wengi hupenda sana wanawake na huwa wana mademu wengi sana

CHARLES wengi chapombe.

SUSAN wengi huwa wana wivu sana na hupenda kujiua.

CARROLINE wengi hupenda kutoa mimba.

hebu tuendeleeni na hii mada!! NENO LANGU SIO SHERIA
SAMAHANI LAKINI!!!
 
Imetoka katika ukurasa wa ROMA kwenye Facebook

Wednesday, January 23, 2013

mmmhhhhhhhhh

Fred is 32 years old and he is still single.

One day a friend asked, "Why aren't you married? Can't you find a woman who will be a good wife?"

Fred replied, "Actually, I've found many women I wanted to marry, but when I bring them home to meet my parents, my
mother doesn't like them."

His friend thinks for a moment and says, "I've got the perfect solution, just find a girl who's just like your mother."

A few months later they meet again and his friend says, "Did you find the perfect girl? Did your mother like her?"

With a frown on his face, Fred answers, "Yes, I found the perfect girl. She was just like my mother. You were right, my
mother liked her very much."

The friend said, "Then what's the problem?"

Fred replied, "My father doesn't like her."

Admin Romantik is on the way! BE READY!
 

Top