Kufuatiwa kubuma kwa sho w za Diamond Platinumz alizofanya Zanzibar na Mwanza.JamiiForums kupitia Page yake ya Facebook Ili upload picha hio pembeni na kuandika yafuatayo:
Msanii wa kizazi kipya Diamond katika baadhi ya "shows" zake hivi karibuni Zanzibar na Mwanza.
Picha mbili za mwanzo ni katika show yake ya Zanzibar 22 January Bwawani Pemba ambapo inasadikika palikuwa na watu wasiozidi 50 na viti vingine vyote vilikuwa tupu. Kiingilio kilikuwa 10,000 kawaida na 15,000 VIP.
Picha ya tatu (chini kabisa) ni show yake aliyofanya usiku wa Valentine Jijini Mwanza katika hotel ya Gold Crest. Kiingilio kilikuwa 20,000
Je, Unafikiri kwanini shows zake zinakosa watu sikuhizi?

yafuatayo ni majibu kupitia comments za mashabiki wa Diamond na wadau wa muziki
Salehe Hamad Swalehe Eheh
kumbe alikua mza juzi hata uwezi amini mimi naishi karibu na hapo
alipofanyia shoo na lazima nipite kila siku hata mara 30 lakini sikujua
kama mzee wa mapuouuuda alikua mza,mimi naisi wasanii ambao awakusoma
wakawa masuper star wakipa hela basi warudi shule kusoma ili kujua dunia
inakwendaje coz biashara ya mziki sasa ivi imevamiwa na wasomi.
Joreth Kagguo mganga wake alinena live kwenye vyombo vya habari. ss yameanza.
Dk Frank Patrick hana nidham acha Mungu achukue pesa zake
Yusuph Ally Kuweni
na akili nyinyi acheni habari za uchochezi kama jamaa anaingiza watu au
haingizi watu wengi nyinyi inawahusu nini??? Au ameshakuja kuwaomba
hela ya kula???
Sisi mbona hatusemi na nyinyi mshaanza kupost vitu vya kipumbavu??
Haya ni maisha ya mtu binafsi na nyinyi haiwahusu
Sisi mbona hatusemi na nyinyi mshaanza kupost vitu vya kipumbavu??
Haya ni maisha ya mtu binafsi na nyinyi haiwahusu
Joseph Mdemu Anafanya mzikiwama gazeti. Inaajaganikwenda kumuona nawakati tutasoma gazetini. Akawaimbie wakina wema. Choko uyo.
Makoko Hoza Ndo
nnachopendea watanzania,,,,ukiwaletea madoido wanakuangalia tu majbu
badaeee,,ndo kinamkuta mvua nguo jukwaani,,,,mbona bado majb yanakuja
mengi tu
Prezdah Projo Akome ananyodo sana km dem.
HIZI ni baadhi ya 'comments' zilizokuwepo katika post hiyo...
JE, WEWE MAONI YAKO NI YAPI
Post a Comment