Games

LATEST UPDATES

Sunday, August 11, 2013

AY NA MWANA FA YAWATOKEA YAKUWATOKEA HUKO AFRIKA KUSINI.........MADAWA YA KULEVYA NOMA


Msanii Madee alivyokuwa airport huko South Africa alipekuliwa sana kutokana na historia ya kukamatwa kwa watanzania na madawa ya kulevya kwenye viwanja vya ndege vya huko South Africa. 


Tukio hilo limewatokea Mwana F.A akiwa na swahiba wake A.Y baada ya kufika bondeni kwa ajili ya show ambapo  wamepekuliwa  kupita  kiasi


Mwana F.A hali ilimshinda ikabidi aanze ku-share na marafiki zake kwenye twitter kuhusu mambo yaliyowakuta huko bondeni.
  
Hizi ni baadhi ya caption za Mwana F.A na watu wengine baada ya tukio hili kutoke.

 
Share This :

Post a Comment

 

Top