Kumradhi kwa picha hio
Habari kutoka NIGERIA zinasema wadada hao walikamatwa Alfajiri katika shamba la mwanakijiji mmoja jina halikupatikana mapema ambapo imeelezwa wametuhumiwa kwa kosa la wizi wa mazao shambani hapo.
Wamekamatwa na mihogo karibu nusu gunia na mazao mengine ya shamba hilo.
Post a Comment