Josep Maria Bartomeu 52 ameibuka mshindi katika kinyang'anyiro hicho na amechaguliwa kuiongoza tena Klabu hio. Amepata 54.63% ya kura zilizopigwa huku mpinzani wake Joan Laporta akiambulia 33.03%.
Bartomeu aliingia madarakani mnamo 2014 baada ya Sandro Rosell kuachia madaraka.
Jumla ya kua zilizopigwa ni 47,270.
kwa habari zaidi za usajil usisahau kuLIKE page yetu ya Facebook
bofya hapa uLIKE ili uwe updated kwa yanayojiri https://www.facebook.com/alwayspamoja
Post a Comment