Mfaransa huyo ambae namba yake imeonekana kuwa hatarani kutokana na usajili wa Sterling ndani ya klabu hicho. Msimu uliopita aliandamwa na majeraha yaliyopelekea kiwango chake kushuka ila hata hivyo mapema mwezi huu alikaririwa kocha wake akitetea uwepo wa Nasri klabuni hapo na akisema ana imani na kiungo huyo na anatumaini msimu ujao atakua tishio.
"Simuhofii yoyote kwani najiamini na nnaimani kila mmoja ana uwezo na staili yake" alisema Samir
Post a Comment