Klabu ya Chelsea imethibitisha na kumkabidhi Falcao jezi namba 9. Namba ambayo mara ya mwisho aliimiliki Torres.
Falcao ambaye kafunga magoli manne tu kati ya mechi 29 alizochezea Man Utd msimu uliopita akiwa kwa mkopo sasa kajiunga na watu wa darajani kwa mkopo mapema mwezi huu tayari kabisa kukipiga msimu ujao
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment