Games

LATEST UPDATES

Monday, February 25, 2013

WEMA SEPETU APATA VITISHO VYA KUTEKWA NA WATU WASIOJULIKANA


 
 siku chache baada ya kufungua kampuni yake WEMA SEPETU amepokea simu kutoka kwa mtu ambaye ni msamaria mwema akamuibia siri ya njama aliyopangiwa.
Baadaya kupata habari hizi ilibidi kumtafuta Wema mwenyewe ili kujiridhisha kama ni kweli,Hiv ndivyo alivyotiririka 
"ni jana tu around jioni jioni hivi, nilipokea sim kutoka kwa msamaria mwema, akiniambia wema jihadhari, yaani baada tu ya kupokea hiyo sim, kwanza i was shoked halafu mwisho wa siku nikiona kama ma haters wanataka kunijaribisha, halafu mwisho wa siku kama vile hawawezi, maana hawajui how well am prepared......."
wherever they are trying to do, they should just understand that, wasije wakajikuta wao ndio wako in trouble, in deep shit, because naskia kuna jopo la watu wanataka kunivamia and its not right, kama mwenzako anafanikiwa muombee mema sio kumdidimiza...."alisema Wema
Share This :

Post a Comment

 

Top