NI Mchungaji wa kanisas la Tanzania Assemblies of God (TAG) lililopo katika
kata ya Ngusero mkoani Arusha.Avuliwa nguo nakubakizwa uchi wa mnyama kisha kupigwa viboko na jamii yake ya wafugaji kisa kawatahiri wanawe wakiume hospitali kinyume na mila za jamii yake.
Baada ya kufanyiwa udhalilishaji huo aiomba serikale kuchukua hatua ama sivyo atanunua bunduki na kulipiza kisasi cha unyama huo.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment