''Huenda ikawa ni kweli Ustadh Yahya Maarufu kama Mganga wa Diamond alivyosema kuwa sasa atamwadhibu kutokana na utovu wa nidhamu aliouonesha kwake'' haya ni maneno aliyosema mdau mmoja wa muziki kutoka Mwanza kufuatia kubuma kwa show ya Diamond siku ya Wapendanao ambapo Diamond alikua anafanya show yake katika ukumbi wa Golden Crest uliopo jijini Mwanza.
Pamoja na umaarufu wote aliokua nao Diamond watu hawakushtuka na kujaa ukumbini hapo licha ya kingilio kuwa shilingi 20,000 matokeo yake walihudhuria watu wapatao 50 tu
Post a Comment