Games

LATEST UPDATES

Wednesday, February 13, 2013

MSANII WA KUNDI LA WANAUME HALISI AAGA DUNIA

bk
Msanii wa kundi la Wanaume Halisi linaloongozwa na Juma Naturem Baraka Masale Sekela aka BK, (wa kushoto kwenye picha hiyo juu)amefariki dunia leo asubuhi.
Kwa mujibu wa blog ya Sam Misago wa East Africa Radio, taarifa hizo zimetolewa na member wa kundi hilo la TMK Wanaume Halisi, Rich One.
Amesema sababu za kifo cha BK ni matatizo ya tumbo na ini yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.
Share This :

Post a Comment

 

Top