"Siri ya Mtungi" ni tamthilia ya
televisheni inayofurahisha, inayoonyesha maisha ya Cheche, mpigapicha
mwenye bashasha na mmiliki wa Studio ya Kupiga Picha ya Mtungi. Ana mke
mrembo, Cheusi, aliyemzalia watoto wawili wenye afya na huku akiwa na
ujauzito wa mtoto wa tatu.
Post a Comment