Games

LATEST UPDATES

Tuesday, February 19, 2013

KANISA LANUSURIKA KUCHOMWA MOTO HUKO ZANZIBAR LEO ASUBUHI



Taarifa za kuaminika zilizorushwa na Radio Wapo katika kipindi chake cha patapata leo asubuhi, ni kwamba watu wasiojulikana wamelivamia kanisa moja huko Zanzibar na kulirushia kitu kama bomu kilicholipuka moto japo majirani waliamka na kuuzima moto huo kabla kuleta madhara makubwa.

Tukio hilo limejitokeza  leo Alfajiri.Hakuna chombo cha dola kilichofika eneo hilo hadi mida hii....

Tukio  hilo  liliambatana  na  vipeperushi  vinavyodai kuwa na  Bado...!!! 

Share This :

Post a Comment

 

Top