MSANII WA BONGO FLEVA ''BUI BUI" ALIYEWAHI KUTAMBA NA KIBAO CHA NIMEKUSAMEHE NA VINGINE KIBAO AMEPATA AJALI YA PIKI PIKI NA INASEMEKANA AMEVUNJIKA MIGUU YOTE NA MIKONO NA AMERIPOTIWA KUWA ANA HALI MBAYA SANA HIVYO WATANZANIA WOTE WANATAKIWA KUMUOMBEA NDUGU YETU APATE KUPONA .....uchunguzi zaidi unaendelea juu ya hali yake na tutazidi kuwatarifu —
Saturday, February 2, 2013
BREAKING NEWS;MSANII BUI BUI APATA AJALI MBAYA YA PIKI PIKI
Author Unknown on 6:06:00 AM in - Comments : 0
MSANII WA BONGO FLEVA ''BUI BUI" ALIYEWAHI KUTAMBA NA KIBAO CHA NIMEKUSAMEHE NA VINGINE KIBAO AMEPATA AJALI YA PIKI PIKI NA INASEMEKANA AMEVUNJIKA MIGUU YOTE NA MIKONO NA AMERIPOTIWA KUWA ANA HALI MBAYA SANA HIVYO WATANZANIA WOTE WANATAKIWA KUMUOMBEA NDUGU YETU APATE KUPONA .....uchunguzi zaidi unaendelea juu ya hali yake na tutazidi kuwatarifu —
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment