Mkongwe huyo wa soka asema anatarajia kurudi tena kama mchezaji na atakipiga katika timu ya Fort Lauderdale Strikers iliyopo USA.
Inakumbukwa kuwa Ronaldo 38 alitangaza kustaafu kwake soka mnamo 2011 miaka minne iliyopita ila sasa anarudi tena kwenye gemu.
''Ndiyo itakua hivyo'' aliliambia Lancel
''tayari nilishasema kuwa hivi karibuni nitarudi kucheza tena kananda''
Kabla ya kuondoka Ulaya alishawahi kukipiga Barcelona, Inter Milan, Real Madrid, AC Milan na Corinthians alifunga magoli 62 katika mechi 98 za kimataifa za Brazil
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment