Games

LATEST UPDATES

Thursday, February 26, 2015

De Bruyne: Mourinho hakunijali



Kelvin De Bruyne aeleza kua anajuta kujiunga na klabu ya Chelsea iliyopo jijini London Uingereza kwa kusema kuwa kocha mreno Mourinho hakuwa anamjali labda pengine alijiunga klabuni hapo kwa dau dogo la euro 8m tu.
De Bruyne 23 alicheza mechi tatu tu Ligi kuu ya England kabla ya kujiunga na Wolfsburg ya Ujerumani kwa dau la euro 18m
"Napaona Wolfsburg kama nyumbani na nipo tayari kuongeza mkataba mwingine" aliliambia sport Blid
"Mou hakuwahi kunifafanulia kwanini hakuwa ana nichezesha labda pengine euro45 inaweza nifafanulia zaidi ya ile euro8m ya mwanzo"
Hivi sasa kinda huyo anawaniwa na timu nying za Uingereza ikiwemo Chelsea,Liverpool,Man City na Utd
Share This :

Post a Comment

 

Top