Games

LATEST UPDATES

Saturday, February 14, 2015

Magoli ya Lallana na Sturrudge yamaliza uteja wa LIVERPOOL kwa Crystal Palace

Tangu mwaka 1997 Liverpool haijawahi kushinda katika dimba la Selhurst Park lakini hiyo jana kupitia tundu la sindano Liverpool waligoma kuendelea kuwa watumwa wa dimba hilo.
Palace ndio waliokua wa kwanza kupata bao dakika ya 15 kupitia kwa F.Campbell na Liverpool wakitokea nyuma walipata mabao yao kupitia kwa Danny Sturridge 48' aliesawazisha  na goli la ushindi alifunga Lallana dakika ya 58' na kufanya matokeo uwanjani hapo kuwa 1-2

Share This :

Post a Comment

 

Top