WIZ KHALIFA NA AMBER ROSE WAPATA MTOTO,SOMA UJUE JINA LAKE NI NANI
Author
Unknown
on
9:45:00 PM
in
-
ILIKUA HIVI KWENYE MITANDAO KIBAO YA KIJAMII
Wiz Khalifa and Amber Rose Welcome Their First Child
IKIFWATIWA NA BO BO BONGEE LA PIC YA JAMAA AKIWA PANDE ZILEE
Haikuishi hapo, kitu kihapen kama jamaa amechangamka nane kwenye twitter
pale alipotupia kama hivo hapo chini "Daddy Time" Then akatupia mpaka
jina ....
endelea
"Happy Birthday Sebastian "The Bash" Taylor Thomaz!!! ?????? Everyone welcome this perfect young man into the world"
Wiz Khalifa (@wizkhalifa
Kama vipi endelea kucheki twitter account yake ujionee mwenyewe
Nae Amber Rose hakubaki nyuma nae alitokelezea na twit yake kuhusu furaha ya kumpata mtoto wao mpendwa "The Bash|"
Post a Comment