Games

LATEST UPDATES

Saturday, March 19, 2016

RAMAWISE feat. MAGADASH - INAWEZEKANA___prod_by_ommyrunner_ACUTE_MUSIC

Kwa mara nyingine tena huyu ni RAMAWISE kutokaMASSTOWN (MUSOMA) hapa akiwa na MAGADASHkutoka CARBON14- MECCO (MWANZA) hapa wameachia JOINT ya maana inakwenda kwa jina laINAWEZEKANA,
     Track imefanyika katika studio za ACUTE MUSICzilizoko jijini Mwanza chini ya ProducerOMMYRUNNER.
     Ofcourse its an inspiration song as the way these guys have prepared it. Lets keep the good music alive
Unaweza kusikiliza na kuidownload hapa:

Share This :

Post a Comment

 

Top