Games

LATEST UPDATES

Saturday, March 19, 2016

DON MURA EXPENDABLE - USIOGOPE _PROD BY OMMYRUNNER

  
Kwa kufungua mwaka 2015!!!!! Huyu niDON MURA EXPENDABLE kutoka MASSTOWN - MUSOMA,  hapa kaachia track ake mpya inayokwenda kwa jina la "USIOGOPE". Track hii imefanyika katika studio za HARSH BASE MUSIC zilizopo jijini Mwanza chini ya producerOMMYRUNNER.
    In reality jamaa kaongea vitu vya muhimu vinavyohusu maisha ya sasa na hali halisi iliyopo nchini. Ndani yake kuna verse inasema 'Daudi angekuwa......asingemuua Goliati'  Sikiliza nyimbo hii kwa makini kisha sambaza kwa wengine ili elimu na ujumbe ufike kama ulivyopangwa.
    Kuwa wa kwanza kuiskiliza na kudownload track hii hapa
Share This :

Post a Comment

 

Top