
Mgombea wa UKAWA Issaya ameshinda Umeya wa Jiji muda mfupi uliopita kwa Kura 84 dhidi ya Kura 67 za Mgombea wa CCM Yenga Omary. Madiwani watano wa CCM wameingia mitini hawakutokea kwenye uchaguzi licha ya CCM kukimbilia mahakamani mara kwa mara kuonesha wapo siriasi na kiti hiki.
Post a Comment