Games

LATEST UPDATES

Sunday, July 12, 2015

Raheem Sterling kuuzwa Man City kwa £49m

Vilabu vya Liverpool na Man City vimefikiia makubaliano katika usajili wa Raheem Sterling.
Baada ya vuta nikuvute ya hapa na pale kati ya Raheem na Liverpool hatimaye muafaka umepatikana na atauzwa kuelekea man city kwa ada ya £49m.
Klabu yake ya zamani QPR pia watafaidika katika dili hili ambapo wao watachukua £9.8
Share This :

Post a Comment

 

Top