Msemaji wa CUF ndg Kambaya ametamka rasmi wao wameamua kuachana na
Ukawa kuanzia leo na kesho saa 11:00 am watazungumza na vyombo vya
habari Anasema upande wa pili wanatoa taarifa kuwa Dr slaa ndiye
mgombea wa ukawa wakati wao viongozi wa juuwa CUF hawajamjua bado
hivyo wanachama wakapatwa na hasira kujaa ofisini kwa chama hicho
buguruni mpaka saa 4pm kwalengo la kuwataka viongozi hao kutoa maelezo
na kutotambua uteuzi huo ambao chadema wamefanya pekee yao na kusema
wanajitoa rasmi katika umoja huo
lakini baadaye tukapata tweet kutoka ITV
picha ya kikao chenyewe ni hii hapa chini ambapo Prof. Lipumba hayupo
source: Yohana Mabena
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment