Begovic 28 amekamilisha usajili wa kuhamia katika klabu hio ya mabingwa wa ligi kuu england Chelsea kwa pauni mil 8 akitokea Stoke City na kutia saini katika mkabata utakao mwezesha kudumu klabuni hapo kwa miaka minne.
Begovic anakwenda kuziba pengo lililoachwa na Cech ambaye amejiunga na Arsenal mapema mwezi huu
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment