Habari kutoka ndani ya klabu zimethibitisha Alexis 26 ataikosa michezo ya mwanzo wa ligi kutokana na ruhusa ya mapumziko aliyoipata kutoka kwa kocha wake Mzee Wenger.
Wenger alisema Alexis ataripo Agosti 3 na itamchukua wiki mbili hadi tatu kuwa fiti ili kushiriki mechi za ligi.
Michezo atakayoikosa mchile huyo ni mechi ya kwanza dhidi ya West Ham Agosti 9 siku saba tu baada ya kukutana na Chelsea pale Wembley kwenye mpambano wa Ngao ya Jamii
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment