Games

LATEST UPDATES

Thursday, February 21, 2013

RAIS MWAI KIBAKI WA KENYA AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA SIKU MBILI


 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Mwai Kibaki wa Kenya muda mfupi baaada ya kuwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kiserikali (State Visit) ya siku mbili.
Rais Mwai kibaki wa Kenya akikaribishwa  kwa maua na mwanafunzi Tazmina Rasul (6) muda mfupi baada ya
kuwasili nchini kwa ziara ya kiserikali (State Visit) ya siku mbili huku mwenyeji wake Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiangalia.
(PICHA ZOTE NA IKULU)
Share This :

Post a Comment

 

Top