Msanii wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini maarufu kama Ommy Dimpoz Poz kwa Poz amesepa kwenda U.K kwenye mialiko aliyoipata hivi karibuni.
Na picha hii imewekwa kwenye mitandao ikimuonesha katika harakati za kukwea pipa kwnda kwa Malikia Lizzy.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment