Tunafurahi kwamba tumepata mshindi wetu wa kwanza wa DStv Rewards, bwana Peter Amandus, ambaye ni mshindi wa Tshs 5,000,000.
Mwaka huu DStv kwa kuridhishwa na ushirikiano mkubwa inayopata kutoka
kwa wateja wake imeaanda kampeni mpya iitwayo DStv Rewards. Kampeni hii
itakuwa inazawadia wateja wake Shilingi za Tanzania 5,000,000 kila wiki
endapo mteja atalipia malipo ya mwezi kabla akaunti yake haijakatika.
Mpango huu umekuja miezi michache tu baada ya DStv kuzindua kampeni
ya punguzo ya malipo ya mwezi kwa asilimia kumi (10%) kwa vifurushi
vyake vyote. Hii ni kama moja ya zawadi zake kwa wateja endepo mteja
atalipia malipo ya mwezi kabla akaunti yake haijakatika.
Nitatuma picha muda si mrefu.
Kwa maelezo zaidi, tafadhali usisite kuwasiliana nami.
Nitatuma picha muda si mrefu.
Kwa maelezo zaidi, tafadhali usisite kuwasiliana nami.
Post a Comment