Games

LATEST UPDATES

Monday, February 18, 2013

MAYA: KUKUTANA NA LULU NI NGUMU



Na Mwandishi Wetu
STAA wa filamu za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa tangu Elizabeth Michael ‘Lulu’ (pichani chini) atolewe gerezani kwa dhamana, moyo wake unakuwa mzito kukutana naye.

 
Akipiga stori na paparazi wetu, Maya aliweka plain kuwa kila anapofikiria ukaribu aliokuwa nao na marehemu Steven Kanumba, moyo wake unakuwa mzito kumuona Lulu ambaye alikuwa mpenzi wa marehemu.
“Mh! Kukutana na Lulu ni ngumu sana, sijui hata najisikiaje? Moyo unakuwa mzito sana kukutana naye na sijui kwa nini,” alisema Maya.

Share This :

Post a Comment

 

Top