Fundi
wa Shirika la Umeme Tanesco mkoani Iringa, Selemani Mbuma akiwa
amenaswa na umeme baada ya wenzake kuwasha umeme kimakosa wakati
akiendelea na matengenezo katika eneo la Mlandege mkoani humo.
Picha na Geofrey Nyang’oro ~ Mwananchi, Alhamisi 21/02/2013
Post a Comment