Games

LATEST UPDATES

Wednesday, February 13, 2013

DIAMOND AJIBU TUHUMA ZA UCHAWI ZINAZOMKABILI

Wasafi wakipata baraka za mama
Is Diamond here to stay?
IMG_0010
Baada ya tuhuma zilizosambaa kuhusu msanii wa kizazi kipya Diamond kuwa anatumia uchawi katika kazi yake ya muziki...
Diamond mwenyewe aliweka picha hizi katika mtandao na kueleza siri ya mafanikio yake ni mama yake mzazi ambaye kabla ya kwenda popote hupita kwa mama yake kupata baraka kwanza
Share This :

Post a Comment

 

Top