source:bongoclantz{eddie surce}
Baada ya hapo Mico amekuwa akiongea na vyombo mbalimbali vya nchini Rwanda na Tanzania akitaka apewe haki yake.
Anasema alimlipa Diamond dola 6,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 9 pamoja na nauli ya ndege ya watu wanne.
Mico NA DIAMOND |
MATANGAZO YALIYOBANDIKWA SEHEMU MBALIMBALI NCHINI RWANDA KAMA PROMO |
Amesema anataka kuzungumza na Diamond ili amrudishie fedha yake baada ya kumsababishia hasara kubwa na ameomba msaada kwenye balozi za Rwanda na Tanzania.
Haya ni maoni ya mashabiki wa Rwanda walioandika kwenye page yetu ya Facebook:
Ibrahim Kg B-raz
Diamond amezalau wa nyarwanda kwa show yenye ingelikuwa jumatano iliyo pita…msani Mico anaumiya sana na machozi ya ma millioni zilizo panwa kwa makubaliano katika hao wasani…sasa leo hii manager Lingo wa DiamonD anajulisha kwamba hakujuwa show hiyo….kilio Kigali kutoka kwa mafans paka leo hata msani Mico muenyewe wanadayi!!!!!!!
Blue Saidoz Akaga
Huku rwanda msanii Diamond amezinguwa kabisa! Ka kula pesa za advance za msanii Mico the best wahapa rwanda sawa na 6000$ wakakubaliana kwamba atakuja katika launch ya msanii huyo Kigali tarehe 16.Feb.2013 then akaenda zake arusha, Sio ungwana kabisa.
Gnl Patrick
Diamond kadanganya wanyarwanda wote ametukoseyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Post a Comment