Games

LATEST UPDATES

Friday, March 18, 2016

KUELEKEA UCHAGUZI Z'BAR WABUNGE WA CUF WACHAFULIWA WAZUSHIWA

Andiko hilo limesambazwa katika mitandao mbalimbali lakini CUF wamekanusha si kauli yao na kuwataka wananchi walipuuze. 
Kupitia ukurasa wake wa Facebook Ismail Jussa ameandika "Kuna kitu hichi kinasambazwa kikidaiwa kwamba ati ni barua ya Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Mhe. Nassor Ahmed Mazrui (ambapo waliotunga wamemuandika ni Ahmed Nassor Mazrui).
Hakuna kitu kama hicho. Tunawaomba wananchi wote WAKIPUUZE!"
 
Share This :

Post a Comment

 

Top