Saturday, March 19, 2016
CASH DONTA - MGUU KWENYE PEDELI__prod by OMMYRUNNER_NEXUS MUSIC__MIXTAPE
Author enoMedia on 8:30:00 AM in - Comments : 0
Ikiwa ni katika harakati za kufunga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka mpya 2014, Huyu ni CASH DORO a.k.a CASH DONTAakiwakilisha MASSTOWN -MUSOMA- akiwa pande za Dar es Salaam, ameachia track yake ya kwanza kutoka kwenye mixtapeyake inayokwenda kwa jina la MGUU KWENYE PEDELI.. Kazi hii imefanyika studio za NEXUS MUSIC chini ya EXECUTIVE Producer OMMYRUNNER.... je ni nini amekizungumzia ndani ya ngoma hii...? Mwanzo alisema hii ni special kwa fans wake,,,, but lets check this out while we kep up MASSTOWN MOVEMENTS
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment