Games

LATEST UPDATES

Sunday, July 12, 2015

Sababu ya jina la Lowassa kukatwa mapema

Vilio vingi na simanzi zimejaa kwa watanzania wengi waliokuwa wakipenda Mheshimiwa Edward  Lowasa aweze kuchaguliwa kuwa mwakilishi wa chama cha mapinduzi Katika mbio za  ya urais kitu ambacho hakijaweza kuwezekana.Sababu mbalimbali zimetajwa kufauatia kwa mgombea huyu kutofika hata ngazi ya tano bora ikiwa ni pamoja na kuwa na makundi ndani ya chama.Ni kwamba kumekuwa na nguvu kubwa kwa pande mbili ya lowasa na membe ambapo ilioonekana ndani ya chama hicho  kila mtu ana kundi lake linalo vutia upande wa mpambe wao..hali  iliyosababisha kufanyika maamuzi magumu kutokea ikiwa ni pamoja na kumtangaza mgombea ambaye hakutarajiwa na wengi ili kuweza kuondoa makundi yaliyo jengeka ndani ya chama kwa sasa.Mgombea wa ccm kupitia chama hicho anategemewa kutangazwa mapema leo.
Share This :

Post a Comment

 

Top