Games

LATEST UPDATES

Thursday, May 30, 2013

HII NDO BLOG INAYOSAPOTII JOTO HASIRA NA VINEGA

Ndugu Wasomaji napenda kuwataarifu kua hii ni blog iliyojitolea klwa moyo katika kutoa ushirikiano kwenye suala zima la kupinga unyonyaji unaofanywa na MEDIA INAYOITWA CLOUDS MEDIA GROUP iliyo chini ya Joseph Kusaga na Ruge Mutahaba.
Nikiandika post hii mimi mmiliki wa Blog hii Enock Ally a.k.a Boyskillz au Facebook utanipata kama EnoqGangking Iv ManCity Michanobattle au Twitter @TygaWaTanzania nasapoti harakati za Vinega na Dada/Mama yetu Lady Jay Dee.
Kila Latest itakayojitokeza basi Tutawataarifuni. tunaomba ushirikiano dhidi ya kupinga unyonyaji unaofanywa na Ruge na wenzake. Hivi sasa tupo katika majonzi baada ya kuondokewa na Hayati Ngwair na ndo sababu ya kuhairishwa kwa show ya miaka 13 ya jide iliyopangwa kufanyika tar 31 may.

Share This :

Post a Comment

 

Top