Games

LATEST UPDATES

Monday, February 4, 2013

VIDEO YA KIZAAZAA KILICHOJITOKEZA BUNGENI JANA

Picture
Leo kulitokea mvurugano Bungeni mara baada ya Mbunge wa Ubungo, John Mnyika kutoa hoja yake, kitendo ambacho aliyekuwa akiongoza kikao hicho, Naibu Spika, Job Ndugai, alisema ameacha kiendelee ili Watanzania washuhudie.

Tafadhali bofya kifute cha pleya mojawapo kati ya mbili zilizopachikwa hapo, ili usikilize audio hii iliyorekodiwa jioni ya leo katika kipindi cha Yaliyotufikia cha WAPO FM radio.
Popout


Bungeni 4 Feb. 2013.mp3
File Size:6027 kb
File Type:mp3
Download File

Picture
Picture
Wabunge wa upinzani wakiwa wamesimama wote kwa pamoja kupinga hoja Bungeni
Picture
Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Mh. Tundu Lissu (kulia} akijadiliana jambo na Naibu Spika wa Bunge,Mh. Job Ndugai nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.Wengine ni Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Mh. Joshua Nassari na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Msigwa. (picha na Mwanakombo Jumaa - Maelezo.)
Share This :

Post a Comment

 

Top