Games

LATEST UPDATES

Thursday, February 14, 2013

MADEE ASEMA KUWA HAJAONA KABISA MWANA HIP HOP HAPA BONGO LABDA NASH MC

The Hit maker wa SIO MIMI hapa namzungumzia MADEE aka Rais Wa manzee hivi majuzi amefunguka ya moyoni na kudai kuwa yeye anaipenda sana hip hop lakini hana vigezo vya kumfanya afiti kwenye Hip hop na kudai kuwa hapa Bongo hakuna aliye fiti katika utamaduni huu labda Maalim Nash MC wa vina mpaka Uchina ..
Maneno haya Madee kutoka TIP TOP CONNECTION alifunguka alipokuwa akihojiwa East AFrica
Share This :

Post a Comment

 

Top