Games

LATEST UPDATES

Thursday, January 31, 2013

TIMBULO AINGIA BONGO MOVIE



Moja ya picha ya Timbulo na Rose Ndauka wakiwa location
--------------------------

Msanii wa bongo fleva Ally Timbulo maarufu kama Timbulo ivi sasa yuko katika michakato ya kufanya movie ambayo inaitwa"Ulimwengu wa faida" lakini pia katika movi hiyo wako mastaa wengine kibao kama Mzee Chiro, Hemed PHD huku Rose Ndauka pamoja na timbulo ndo watakua wahusika wakuu katika movi hiyo.

Msanii huyo ameamua kuingia katika bongo movi baada ya  comenti nyingi sana kutoka kwa mashabiki wake kuwa anauwezo wa kufanya filamu kutokana na vipande  ambavyo huwa anaigiza katika video zake za muziki.
Share This :

Post a Comment

 

Top