Games

LATEST UPDATES

Monday, February 4, 2013

PICHA ZA HARUSI YA KITALE


 Msanii wa Filamu za kuchekesha hapa nchini maarufu kama Kitale, jana amesherehekea siku yake muhim, kwa kufunga ndoa na mpenzi wake, ambae leo hii tunamuongelea kama mkewe, Bi Fatma Salum.
Ndoa hiyo ilifungwa majira ya Saa nane mchana maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na watu kibao wakiwemo marafiki, ndugu na jamaa. djfetty blog inakutakia maisha mema katika ndoa yako.









Share This :

Post a Comment

 

Top